Usajili mpya kwa ajili ya mwaka wa masomo 2025 umeanza
Morning star, Pre & Primary School inayo furaha kukukaribisha mzazi kumsajili mwanao kwa ajili ya mwaka wa masomo 2025 kwa ngazi ya Nursery, Darasa la kwanza (1) hadi darasa la Saba (7) kwani sasa usajili umeanza, Shule yetu inapatikana Michese Kibaoni right hand side, 5 Km from Dodoma city Tanzania, katika plot number 4111. Karibu sana umlete mwanao shuleni kwetu kwa Elimu bora na Malezi bora
Comments